WENYEJI, Wydad Athletics wamefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya waliokuwa mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Mfalme Mohamed V Jijini Casablanca nchini Morocco. Mabao yote ya Wydad yamefungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Morocco, Zouheir El-Moutaraji mwenye umri wa miaka 26, moja kila kipindi, la kwanza dakika ya 15 na la pili dakika ya 45.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment