KIUNGO Zawadi Peter Mauya amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuchezea klabu ya Yanga hadi msimu wa 2024. Zawadi alijiunga na Yanga mwaka 2020 Julai akitokea Kagera Sugar na baada ya kazi nzuri katika misimu yake miwili ya awali ikiwemo kufunga bao pekee la ushindi katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya watani, Simba Julai 3, mwaka jana amepewa nafasi nyingine Jangwani.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment