TIMU ya Liverpool imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St Mary's . Southampton walitangulia na bao la Nathan Redmond dakika ya the 13, kabla ya Liverpool kuzinduka kwa mabao ya Takumi Minamino dakika ya 27 na Joel Matip dakika ya 67. Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 89, ingawa inaendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya Manchester City wenye pointi moja zaidi baada ya wote kucheza mechi 37. Southampton yenyewe inabaki na pointi zake 40 za mechi 37 nafasi ya 15.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment