TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Mabao ya Azam FC yamefungwa na Ayoub Lyanga yote dakika ya 20 na 54, wakati bao pekee la Mtibwa Sugar limefungwa na Said Ndemla dakika ya 80. Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 36 na kupanda nafasi ya nne, ikizidiwa pointi moja na Namungo FC baada ya wote kucheza mechi 25, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake 28 za mechi 25 pia nafasi ya 10.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment