TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London usiku wa Jumapili. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Rob Holding dakika ya 38 na Gabriel Magalhães dakika ya 54, wakati la West Ham limefungwa na Jarrod Bowen dakika ya 45. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 63 na kusogea nafasi ya nne, ikiizidi pointi mbili Tottenham Hotspur baada ya wote kucheza mechi 34.
FUFA President’s New Year Address
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim made his first address in the New
Year today in a press briefing held at FUFA Complex Mengo, giving an update
abo...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment