
Tuesday, May 31, 2022

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakwenda Benin kwa ndege ya kukodi kwa ajili ya mchezo wake wa kwanza Kundi F kufuzu Fainali...
SIMBA SC YAMTUPIA VIRAGO KOCHA PABLO
Tuesday, May 31, 2022
KLABU ya Simba imeachana na kocha wake, Mspaniola Pablo Franco Martin baada ya makubaliano ya pande zote MBILI na kuelekea mechi zilizobaki ...
NI WYDAD CASABLANCA MABINGWA AFRIKA 2022
Tuesday, May 31, 2022
WENYEJI, Wydad Athletics wamefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya waliokuwa mabingwa watetezi, A...
Monday, May 30, 2022
POLISI TANZANIA YAICHAPA BIASHARA 2-0 MOSHI
Monday, May 30, 2022
WENYEJI, Polisi Tanzania wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo ...
YANGA SC YAACHANA KWA AMANI NA NTIBANZOKIZA
Monday, May 30, 2022
KLABU ya Yanga imeachana na kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi, Saido Ntibanzokiza baada ya misimu miwili ya kuitumikia timu hiyo.
DTB YA LIGI KUU NI SINGIDA BIG STARS FC
Monday, May 30, 2022
BAADA ya kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara, timu ya DTB imebadilishwa jina na kuwa Singida Big Stars FC na kituo chake kitakuwa ni Uwanja wa...
MO DEWJI ASEMA MAFANIKIO SIMBA YALILETWA NA ‘POCHI NENE’
Monday, May 30, 2022
RAIS wa Heshima wa klabu ya Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji amesema bajeti ya uendeshaji ya klabu iliongezeka miaka mitano iliyopita na ndio sabab...
WAZIRI WA MICHEZO AWATEMBELEA SERENGETI GIRLS KAMBINI ZANZIBAR
Monday, May 30, 2022
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa na Naibu wake Pauline Gekul pamoja na baadhi ya viongozi wa wizara na Shirikisho la...
TAIFA STARS MAZOEZINI MKAPA KUJIANDAA KUZIBAA NIGER NA ALGERIA
Monday, May 30, 2022
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania, “Taifa Stars” wakiwa kwenye mazoezi yaliyoanza jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ku...
TWIGA STARS WANAVYOJIANDAA NA KOMBE LA CHALLENGE KAMBINI BUKOBA
Monday, May 30, 2022
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Twiga Stars wakiwa mazoezini Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, Kagera kujiandaa na mashind...
KIBWANA NA KIBU WALIPOPEANA POLE BAADA YA KUUMIZANA
Monday, May 30, 2022
BEKI wa Yanga, Kibwana Shomari (kulia) na mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis wakipeana pole baada ya wawili hao kuumia kufuatia kugongana kw...
Sunday, May 29, 2022
NI COASTAL NA YANGA FAINALI ASFC, AZAM YAFA KWA MATUTA
Sunday, May 29, 2022
TIMU ya Coastal Union ya Tanga imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation...
NI REAL MADRID MABINGWA ULAYA
Sunday, May 29, 2022
TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la UEFA Champions League kwa mara ya 14 ya rekodi baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Liverpool, b...
Saturday, May 28, 2022
MO DEWJI ATAKA SIMBA ISUKWE UPYA IREJESHE MAKALI
Saturday, May 28, 2022
RAIS wa heshima wa Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji amesema timu inahitaji kusukwa upya ili kurejesha makali. Kauli hiyo inafuatiwa timu...
YANGA 1-0 SIMBA (NUSU FAINALI KOMBE LA TFF)
Saturday, May 28, 2022
FEI TOTO AIPELEKA YANGA FAINALI ASFC, SIMBA YALALA 1-0
Saturday, May 28, 2022
VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) b...
KIKOSI CHA YANGA SC KINACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA
Saturday, May 28, 2022
KOCHA Mtunisia wa Yanga, Nasreedin Mohamed Nabi amewaaanzisha pamoja washambuliaji Wakongo, Fiston Kalala Mayele na Heritier Ma Olongi Makam...
KUKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO DHIDI YA MTANI
Saturday, May 28, 2022
KOCHA Mspaniola wa Simba, Pablo Franco Martin amemuanzisha kipa Beno Kakolanya katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka ...
Friday, May 27, 2022
SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI KIRUMBA
Friday, May 27, 2022
KLABU za Simba na Yanga zimetozwa faini kwa makosa tofauti kwenye mechi zao kadhaa zilizopita za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zikiewemo za Juma...
MAKOCHA, MANAHODHA SIMBA NA YANGA WAELEZA MIPANGO
Friday, May 27, 2022
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Yanga, Nassredine Nabi, amesema kesho hawata waachia simba nafasi ya kutinga fainali kwani msimu huu malengo yao ni...
SHABIKI WA SIMBA ASHINDA SH MILIONI 168 PERFECT 12
Friday, May 27, 2022
MKAZI wa mkoa wa Kagera, Baraka Lugwisha Shoki amejishindia kitita cha Sh 168,972, 500 baada ya kubashiri kiusahihi mechi 12 za mchezo wa ...
Thursday, May 26, 2022
TAIFA STARS KUANZA NA SOMALIA KUFUZU CHAN YA MWAKANI
Thursday, May 26, 2022
TANZANIA itaanzia ugenini kwa Somalia katika kuwania tiketi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwakani nchini Algeria. Mechi ...
PRISONS NA GEITA GOLD ZAGAWANA POINTI SOKOINE
Thursday, May 26, 2022
WENYEJI, Tanzania Prisons wamegawana pointi na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya Leo Uwanja wa Sokoine Jijini M...
CHEZA SUPA JACKPOT YA SH BILIONI 1 KWA SH 1000
Thursday, May 26, 2022
KAMPUNI ya Michezo na Burudani SportPesa leo im ezindua rasmi Jackpot mpya inayoitwa Supa Jackpot kama moja ya hud...
Subscribe to:
Posts (Atom)