KIUNGO Mrundi wa Yanga, Saido Ntibanzokiza akikabidhiwa tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Februari, mwaka huu msimu wa 2021-2022. Tuzo hiyo ilitolewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Jumatano Yanga ikishinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Azam FC Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Wengine waliokabidhiwa ni Kocha tulikabidhiwa tuzo za Wachezaji bora na Kocha Mtunisia, Nasreddine Nabi miezi ya Oktoba na Februari, kiungo Mzanzibari, Feisal Salum mwezi Oktoba na mshambuliaji Mkongo, Fuston Kalala Mayele mwezi Januari.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment