BAO pekee la beki Jan Bednarek dakika ya 44, limewapa wenyeji, Southampton ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. Mary's Stadium mjini Southampton, Hampshire. Kwa ushindi huo, Southampton wanafikisha pointi 39 katika mchezo wa 32 na kusogea nafasi ya 12, wakati Arsenal inabaki na pointi zake 54 za mechi 31 sasa ikishukia nafasi ya sita na kuipisha Manchester United nafasi ya tano.
13 years after: Kwara govt honours Rashidi Yekini
-
By Emma Jemegah Almost 13 years ago he passed on, former Super Eagles
striker, Rashidi Yekini, has finally been honoured by his state government,
Kwara S...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment