WENYEJI, Simba SC wametanguliza kifua Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Bao pekee la Simba inayofundishwa na kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin limefungwa na beki mkongwe wa kulia, Shimari Salum Kapombe kwa penalti dakika ya 68. Penalti hiyo ilitolewa na refa Mtunisia, Haythem Guirat aada ya winga Mghana, Bernard Morrison kwenye boksi. Timu hizo zitarudiana Jumapili ijayo Uwanja wa Orlando Jijini Johannesburg.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment