MECHI ya Ligi Kuu Tanzania Bara baina ya wenyeji, Polisi Tanzania dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC itachezwa Aprili 10, mwaka huu kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Awali mchezo huo ulipangwa kufanyika Machi 15, lakini ukaahirishwa kutokana na Simba kukabiliwa na michuano ya Afrika.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment