NI SIMBA NA ORLANDO PIRATES ROBO FAINALI SHIRIKISHO
MABINGWA wa Tanzania, Simba SC watamenyana na Orlando Pirates ya Afrika Kusini katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba wataanzia nyumbani Aprili 17, kabla ya kusafiri kwenda Houghton Jijini Johannesburg kwa mchezo wa marudiano Aprili 24. Mechi nyingine za Robo Fainali ni baina ya timu za Libya tupu, Al-Ittihad dhidi ya Al-Ahli Tripoli, Pyramids ya Misri dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Al-Masry ya Misri dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Mechi zote za kwanza zitachezwa Aprili 17 na marudiano Aprili 24, mwaka huu.
Preview: Arsenal v Tottenham Hotspur
-
Prepare for the north London derby with all the key stats, a guide to
Spurs' tactics, team news, TV listings and much more
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment