RAIS wa Heshima wa Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji akimwagia maji kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude kama sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mchezaji huyo wa Kimataifa wa Tanzania. Mo Dewji alifanya hivyo baada ya kuwatembelea wachezaji kambini leo na kuzungumza nao kuelekea mchezo wao wa Jumapili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Gendamarie ya Niger.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment