WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya mahasimu, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield, Liverpool. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Andrew ‘Andy’ Robertson dakika ya 62 na Divock Origi dakika ya 85 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 79, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi moja na Manchester City baada ya wote kucheza mechi 33. Everton baada ya kupoteza mchezo huo wanabaki na pointi zao 29 za mechi 32 sasa nafasi ya 18 kwenye ligi ya timu 20, ambayo mwisho wa msimu tatu zitashuka.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment