TIMU ya Liverpool imeendeleza ubabe baada ya jana kuwachapa wenyeji, Benfica mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa da Luz Jijini Lisbon, Ureno. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Ibrahima Konate dakika ya 17, Sadio Mane dakika ya 34 na Luis Diaz dakika ya 87, wakati la Benfica lilifungwa na Darwin Nunez dakika ya 49.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment