// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
FIFA YAIFUNGIA BIASHARA KUSAJILI, KATIBU AFUNGIWA MIAKA MITANO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEFIFA YAIFUNGIA BIASHARA KUSAJILI, KATIBU AFUNGIWA MIAKA MITANO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
FIFA YAIFUNGIA BIASHARA KUSAJILI, KATIBU AFUNGIWA MIAKA MITANO
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Biashara United kufanya usajili wa wachezaji wapya kuanzia dirisha dogo la Januari 2022 kwa kushindwa kumlipa mishahara mchezaji wake, Timoth Omwenga. Beki huyo Mkenya alipeleka malalamiko yake FIFA na Biashara ikazuiwa kufanya usajili mpya hadi imalizane naye, lakini uongozi wa Klabu hiyo ukakaidi agizo hilo. Hiyo imemponza Katibu wa Biashara United, Hajji Mtete kufungiwa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitano.
Zimbabwe Afcon hopes dashed after loss to Cameroon
-
Zimbabwe’s hopes of finishing the 2025 Africa Cup of Nations (AFCON)
qualifiers undefeated were dashed yesterday after a 2-1 defeat to Cameroon
at the Ah...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment