TIMU ya Chelsea imezinduka kwa ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. Mary's, Southampton, Hampshire. Mabao ya Chelsea leo yamefungwa na Marcos Alonso dakika ya nane, Mason Mount dakika ya 16 na 54, Timo Werner dakika ya 21 na 49 na Kai Havertz dakika ya 31. Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 29, ingawa inabaki nafasi ya tatu, ikizidiwa pointi 13 na Liverpool walio nafasi ya pili, nyuma ya Manchester City wenye pointi moja zaidi yao, wote wakiwa wamecheza mechi 30.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment