TIMU ya Brentford jana ilitoka nyuma na kushinda 4-1 dhidi ya wenyeji, Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Chelsea ilitangulia kwa bao la Antonio Rudiger dakika ya 48, kabla ya Brentford kuzinduka kwa mabao ya Vitaly Janelt dakika ya 50 na 60, Christian Eriksen dakika ya 54 na Yoane Wissa dakika ya 87. Ushindi huo unaifanya Brentford ifikishe pointi 33 katika mchezo wa 31 na kujivuta nafasi ya 14, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 59 za mechi 29 katika nafasi ya tatu.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment