// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
ARSENAL YACHAKAZWA 3-0 NA CRYSTAL PALACE LONDON - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEARSENAL YACHAKAZWA 3-0 NA CRYSTAL PALACE LONDON - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
WENYEJI, Crystal Palace wameibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Selhurst Park Jijini London. Mabao ya Crystal Palace yamefungwa na Jean-Philippe Mateta dakika ya 16, Jordan Ayew dakika ya 24 na Wilfried Zaha dakika ya 74 kwa penalti. Kwa ushindi huo, Crystal Palace ya kocha Patrick Vieira, Nahodha na kiungo wa zamani wa Arsenal, inafikisha pointi 37 katika mchezo wa 30 nafasi ya tisa, wakati Arsenal inabaki na pointi zake 54 za mechi 29 sasa nafasi ya tano.
Britain's Burrage falls short against Gauff
-
Britain's Jodie Burrage gives a good account of herself but is beaten in
straight sets by Coco Gauff in the Australian Open second round.
Preview: Arsenal v Tottenham Hotspur
-
Prepare for the north London derby with all the key stats, a guide to
Spurs' tactics, team news, TV listings and much more
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment