
Saturday, April 30, 2022

MABINGWA watetezi, Simba SC wametoa sare ya bila mabao na vinara wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini D...
Friday, April 29, 2022
AZAM FC YALAZIMISHA SARE KWA GEITA, 2-2
Friday, April 29, 2022
WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya 2-2 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Nyankumbu, Geita...
MAN UNITED SARE 1-1 NA CHELSEA OLD TRAFFORD
Friday, April 29, 2022
WENYEJI, Manchester United wamelazimishwa sare ya 1-1 na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamisi Uwanja wa Old Traffo...
Thursday, April 28, 2022
BASHUNGWA MGENI RASMI MECHI YA WATANI, MANARA MWANACHAMA YANGA
Thursday, April 28, 2022
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Innocent Bashungwa ndiye atakuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamo...
KAYOKO KUCHEZESHA PAMBANO LA WATANI JUMAMOSI
Thursday, April 28, 2022
REFA Ramadhani Kayoko ndiye atakayepuliza kipyenga kwenye mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini D...
TAARIFA ZASEMA MINO RAIOLA AMEFARIKI DUNIA
Thursday, April 28, 2022
WAKALA maarufu wa wanasoka kadhaa wakubwa, Mino Raiola ameripotiwa kufariki dunia. Taarifa rasmi zinasema anapambania maisha yake akiwa amel...
LIVERPOOL YAICHAPA VILLARREAL 2-0 ANFIELD
Thursday, April 28, 2022
WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Villarreal ya Hispania katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa U...
Wednesday, April 27, 2022
UCHAGUZI WA MATAWI YANGA SC WASOGEZWA MBELE
Wednesday, April 27, 2022
UCHAGUZI wa viongozi wa Matawi wa klabu ya Yanga umesogezwa mbele hadi mwishoni mwa mwishoni mwa mwezi ujao, imesema taarifa ya klabu leo.
KAPTENI BOCCO AREJEA KUIVAA YANGA JUMAMOSI
Wednesday, April 27, 2022
NAHODHA wa Simba SC, John Raphael Bocco amerejea mazoezini kuelekea mechi dhidi ya watani, Yanga Jumamosi baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwe...
DJUMA SHABANI HATARINI KUWAKOSA SIMBA JUMAMOSI
Wednesday, April 27, 2022
BEKI hodari na tegemeo wa Yanga SC, Mkongo Djuma Shabani yuko shakani kuiwahi mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Si...
ORLANDO PIRATES 0-0 (PENALTI 4-3) SIMBA SC (KOMBE LA SHIRIKISHO)
Wednesday, April 27, 2022
MAN CITY YAICHAPA REAL MADRID 4-3 ETIHAD
Wednesday, April 27, 2022
WENYEJI, Manchester City jana wamepata ushindi wa 4-3 dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...
Tuesday, April 26, 2022
BAKHRESA GROUP INAWATAKIA MAAZIMISHO MEMA YA SIKU YA MUUNGANO
Tuesday, April 26, 2022
Tunawatakia Watanzania wote Maadhimisho mema ya siku ya Muungano. We wish all Tanzanian's Happy Celebrations of The Union Day. @official...
SIMBA WAREJEA, HASIRA ZOTE KWA MTANI YANGA JUMAMOSI
Tuesday, April 26, 2022
KIKOSI cha Simba kimerejea Dar es Salaam leo baada ya jana kutolewa na wenyeji, Orlando Pirates katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho A...
Monday, April 25, 2022
YUSSUF BAKHRESA NA BEKI MGHANA WA LEICESTER CITY...
Monday, April 25, 2022
MKURUGENZU wa Azam FC, Yussuf Bakhresa akiwa na beki Mghana wa Leicester City, Daniel Amartey katika ziara yake ya England.
MUITE HAJI OLE SUNDAY MANARA WA YANGA
Monday, April 25, 2022
MSEMAJI wa klabu ya Yanga, Haji Sunday Manara leo ameibuka kwenye mkutano na Waandishi wa Habari akiwa kavaa vazi la Kimasai na kusema kuanz...
KIINGILIO YANGA NA SIMBA SH 5,000 JUMAMOSI DAR
Monday, April 25, 2022
KIINGILIO cha chini katika mchezo wa watani wa jadi, Yanga na Simba Jumamosi Uwanja sa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ni Sh. 5,000 kwa ...
YANGA SC 2-1 NAMUNGO FC (LIGI KUU TZ BARA)
Monday, April 25, 2022
SIMBA SC YAFA KIUME, YATOLEWA KWA MATUTA SAUZI
Monday, April 25, 2022
KWA mara nyingine tena, safari ya Simba katika michuano ya Afrika imeishia kwenye Robo Fainali baada ya kutolewa na Orlando Pirates katika ...
Sunday, April 24, 2022
CHELSEA YAICHAPA WEST HAM 1-0 STAMFORD BRIDGE
Sunday, April 24, 2022
BAO pekee la Christian Pulisic dakika ya 90 limewapa wenyeji, Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya E...
LIVERPOOL YAICHAPA EVERTON 2-0 ANFIELD
Sunday, April 24, 2022
WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya mahasimu, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield, Liverp...
YANGA PRINCESS YAFUTA UTEJA KWA SIMBA QUEENS
Sunday, April 24, 2022
TIMU ya Yanga Princess imeweka historia baada ya kuibuka na ushindi kwa mara ya kwanza dhidi ya mahasimu, Simba Queens katika mchezo wa Ligi...
MAMELODI NJE, AHLY YATINGA NUSU FAINALI
Sunday, April 24, 2022
VIGOGO, Mamelodi Sundowns wametupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Atlético Petróleos ya Angol...
YONDAN NA NABI WAFUNGIWA, REFA YANGA NA GEITA KIKAANGONI TFF
Sunday, April 24, 2022
BEKI wa Geita Gold, Kelvin Yondan amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la kumchezea rafu ya makusudi mshambuliaj...
BAYERN MUNICH WAWEKA REKODI MPYA YA MATAJI ULAYA
Sunday, April 24, 2022
VIGOGO, Bayern Munich wamefanikiwa kutwaa taji la 10 mfululizo la Bundesliga baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya mahasimu, Borussia Dortmund ja...
MESSI AIPA TAJI LA KWANZA PSG
Sunday, April 24, 2022
NYOTA Muargentina, Lionel Messi ameiwezesha Paris Saint-Germain kutwaa taji la 10 la rekodi ya Ligue 1, Ufatransa kwa kufunga kwenye sare ya...
TYSON FURY ASTAAFU BAADA YA KUMCHAPA WHITE KO RAUNDI YA SITA
Sunday, April 24, 2022
BONDIA Tyson Luke Fury 'Gipsy King' ametangaza rasmi kustaafu ndondi baada ya kutetea tena taji lake la WBC uzito wa juu kwa kumpiga...
DODOMA JIJI YAZINDUKA, YAICHAPA MBEYA CITY 2-1
Sunday, April 24, 2022
WENYEJI, Dodoma Jiji jana wamezinduka na kuichapa Mbeya City ambao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijini D...
Saturday, April 23, 2022
YANGA YAICHAPA NAMUNGO 2-1 , MAYELE ATETEMA TENA
Saturday, April 23, 2022
VIGOGO, wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini...
GEITA GOLD YAILAMBA KMC 2-0 NYANKUMBU
Saturday, April 23, 2022
WENYEJI, Geita Gold wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita....
JESUS APIGA NNE, MAN CITY YAITANDIKA WATFORD 5-1
Saturday, April 23, 2022
WENYEJI, Manchester City wameibuka na ushindi wa 5-1 dhidi ya Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad Jijini Manch...
ARSENAL YAICHAPA MAN UNITED 3-1 EMIRATES
Saturday, April 23, 2022
WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates Jijini L...
Friday, April 22, 2022
MBEYA KWANZA YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 SONGEA
Friday, April 22, 2022
WENYEJI, wahamiaji Mbeya Kwanza wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo U...
FEI TOTO NA AUCHO FITI KABISA KUIVAA NAMUNGO KESHO
Friday, April 22, 2022
KIUNGO Mzanzibari wa Yanga SC, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ aliyekosekana tangu mwezi uliopita yuko fiti kwa ajili ya mchezo wa kesho wa...
SIMBA SC WALIVYOTUA SAUZI KUIVAA ORLANDO PIRATES JUMAPILI
Friday, April 22, 2022
WACHEZAJI wa Simba SC baada ya kuwasili Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini leo kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kom...
MBUNI, COPCO ZAPANDA LIGI YA CHAMPIONSHIP
Friday, April 22, 2022
TIMU ya Mbuni FC ya Arusha imefanikiwa kupanda Ligi ya Championship kutoka First League baada ya ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Rhino Range...
Subscribe to:
Posts (Atom)