WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ameitembelea timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 iliyoweka kambi visiwani Zanzibar kujiandaa na mchezo wa marudiano kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Botswana Machi 20, 2022. Mabinti wa Tanzania U17 walishinda 7-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita na wakivuka hatua hii watakutana na Burundi katika Raundi ya Tatu kuwania kwenda Raundi ya mwisho ya mchujo.
Simba make good start beating Bravos do Maquis
-
Tanzanian side Simba SC have made a good start in Group A of the 2024/2025
TotalEnergies CAF Confederation Cup. Coach Fadlu Davids’ side picked a
narrow ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment