OFISA wa Shirikisho la SOKA Somalia (SFF), Abdinur Warka akimkabidhi jezi ya timu ya taifa ya nchi hiyo, mshambuliaji Mzimbabwe wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Warka amekuwa na timu ya taifa ya ya Somalia chini ya umri wa miaka 23, ambayo Machi 23 itamenyana na Eswatini Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam katika mchezo wa kufuzu Fainali za Afrika (AFCON U23).
Simba make good start beating Bravos do Maquis
-
Tanzanian side Simba SC have made a good start in Group A of the 2024/2025
TotalEnergies CAF Confederation Cup. Coach Fadlu Davids’ side picked a
narrow ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment