WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Kwa sare hiyo ambayo inaiongezea kila timu pointi moja, Tanzania Prisons inafikisha 13 katika mchezo wa 17 ikiendelea kushik mkia, wakati Mtibwa Sugar inafikisha 16 katika mchezo wa 17 pia nafasi ya 12.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment