WENYEJI, Liverpool wamefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Norwich City usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfield. Mabao ya Liverpool yote yamefungwa na Takumi Minamino dakika ya 27 na 39, wakati la Norwich City limefungwa na Lukus Rupp dakika ya 76.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment