TIMU ya Chelsea imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Luton Town usiku wa Jumatano Uwanja wa Kenilworth Road mjini Luton, Bedfordshire. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Saul Niguez dakika ya 27, Timo Werner dakika ya 68 na Romelu Lukaku dakika ya 78, wakati ya Luton Town yamefungwa na Reece Burke dakika ya pili na Harry Cornick dakika ya 40.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment