
Thursday, March 31, 2022

MCHEZO baina ya wenyeji, Simba SC na US Gendamarie ya Niger utachezwa muda mmoja na mchezo mwingine wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho...
AISHA MASAKA ALIVYOYAANZA MAISHA YA ULAYA
Thursday, March 31, 2022
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Aisha Khamis Masaka ‘Aisha Magoal’ (18), akiwa mazoezini na timu yake mpya, BK Hacken Jijin...
UNGA MAHSUS WA BOFLO UNAPATIKANA ZANZIBAR PEKEE
Thursday, March 31, 2022
Tumia unga wetu mahsus kwa ajili ya Boflo kuandaa mikate bora ya Boflo. Unapatikana Zanzibar pekee. Use our special Boflo flour to prepare ...
Wednesday, March 30, 2022
YANGA YAICHAPA MAFUNZO 3-2 CHAMAZI
Wednesday, March 30, 2022
VIGOGO, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje ...
HUHITAJI LAINI MPYA KUJIUNGA NA AZAM PESA
Wednesday, March 30, 2022
Manake hapo kwanza nicheke! 😆 Huhitaji laini mpya kujiunga na AzamPesa! Vimba kwa kutumia namba yako ya Tigo, Airtel au Zantel. Jisajili l...
MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA JUMA PONDAMALI (II)
Wednesday, March 30, 2022
MASATU KATIKA KUNDI LA WACHEZAJI WA YANGA
Wednesday, March 30, 2022
BEKI wa Simba SC, George Magere Masatu katika kundi la wachezaji wa Yanga wakati wa mazoezi ya kupasha misuli moto kabla ya mchezo baina ya ...
TANZANIA 1-1 SUDAN (MECHI YA KIRAFIKI)
Wednesday, March 30, 2022
BRUNO APIGA MBILI, URENO YAFUZU KOMBE LA DUNIA
Wednesday, March 30, 2022
MABAO ya mshambuliaji wa Manchester United, Bruno Fernandes dakika ya 32 na 65 jana yaliipa Ureno ushindi wa 2-0 dhidi ya Macedonia Kaskazin...
QATAR 2022 NI CAMEROON, SENEGAL, GHANA, MOROCCO NA TUNISIA
Wednesday, March 30, 2022
MABALOZI wa Afrika kwenye Fainali za Kombe la Dunia baadaye mwaka huu nchini Qatar ni Cameroon, Ghana, Morocco, Senegal na Tunisia. Cameroon...
Tuesday, March 29, 2022
STARS YATOA SARE 1-1 NA SUDAN DAR
Tuesday, March 29, 2022
TANZANIA imelazimishwa sare ya 1-1 na Sudan katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Sudan ...
AZAM FC YAICHAPA DTB 1-0 KIRAFIKI CHAMAZI
Tuesday, March 29, 2022
BAO pekee la beki Edward Charles Manyama dakika ya 79, limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya DTB katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa A...
KONGAMANO LA MICHEZO MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA
Tuesday, March 29, 2022
WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeandaa kongamano la Michezo kuazimisha mwaka mmoja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mheshimi...
Monday, March 28, 2022
YANGA KUKATA UTEPE ROBO FAINALI ASFC
Monday, March 28, 2022
VIGOGO, Yanga SC ndio watakata utepe katika Hatua ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Feder...
YANGA YAMPONGEZA KIONGOZI WAKE KWA UTEUZI
Monday, March 28, 2022
KLABU ya Yanga imempongeza Mwanasheria wake, Wakili Simon Patrick kwa kuteuliwa kwake kuwa mmoja wa Mawakili Wasaidizi wa Mahakama ya Kimata...
WANAFUNZI UDOM WATEMBELEA AZAM COMPLEX
Monday, March 28, 2022
WANAFUNZI na wakiambatana na Serikali yao ya wanafunzi, wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo wametembelea makao makuu ya klabu ya Azam FC, A...
BERKANE WATOZWA FAINI MILIONI 250 FUJO DHIDI YA SIMBA
Monday, March 28, 2022
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeitoza faini klabu ya RS Berkane ya Morocco faini ya jumla ya dola za Kimarekani 108,000, zaidi ya Sh. ...
AZAM FC KUMENYANA NA DTB JUMANNE
Monday, March 28, 2022
TIMU ya Azam FC itakuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya DTB Jumanne Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa...
Sunday, March 27, 2022
MAYELE AKIMPA DARASA CHIPUKIZI WA YANGA
Sunday, March 27, 2022
KINARA wa mabao Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele akimpa maarifa ya kiushambuliaji na ufungaji mshambuliaji c...
SIMBA SC WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUIVAA USGN
Sunday, March 27, 2022
KIKOSI cha Simba kimeingia kambini leo kujiandaa mechi yake ya mwisho ya Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Gendamarie ya Niger ...
DTB YAENDELEZA UBABE CHAMPIONSHIP
Sunday, March 27, 2022
TIMU ya DTB imeendeleza ubabe katika mbio za kuwania kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara kupitia michuano ya Championship baada ya ushindi wa ...
KIDUKU ATWAA UBINGWA WA AFRIKA
Sunday, March 27, 2022
BONDIA Mtanzania, Twaha Kassim Rubaha ‘Twaha Kiduku’ jana amefanikiwa kutwaa taji la ubingwa wa Afrika wa UBO uzito wa Super Middle baada ya...
Saturday, March 26, 2022
MUDA WA KUVIMBA NA AZAM PESA
Saturday, March 26, 2022
Ni muda wa kuvimba na @AzamPesa, huduma mpya ya kifedha nchini Tanzania. Weka, tuma, pokea na toa pesa, fanya malipo ya bidhaa & bili. ...
MAMBO YAZIDI KUNOGA KITUO CHA TFF KIGAMBONI
Saturday, March 26, 2022
ZOEZI la utandikaji nyasi bandia kwenye uwanja wa Kituo cha Ufundi cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kilichopo Kigamboni Jijini Dar es S...
WAARABU WANNE WANUSA QATAR 2022
Saturday, March 26, 2022
TIMU za Kaskazini mwa Afrika zimepata matokeo mazuri dhidi ya timu za ukanda wa Jangwa la Sahara katika mechi za kwanza za raundi ya mwisho ...
Friday, March 25, 2022
WANAFUNZI FEZA BOYS WATEMBELEA AZAM FC LEO
Friday, March 25, 2022
WANAFUNZI wa shule ya Feza Boys leo wametembelea viunga vya Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kujifunza mambo mba...
KUZIONA SIMBA NA GENDAMARIE BUKU TATU TU
Friday, March 25, 2022
KIINGILIO cha chini katika mchezo wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Simba was SC na US Gendamarie ya Niger A...
YANGA KUCHEZA NA MAFUNZO JUMATANO CHAMAZI
Friday, March 25, 2022
VINARA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC wanatarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar Jumatano ijayo Uwanja wa Az...
Thursday, March 24, 2022
MAAFISA UTAMADUNI KUPEWA MAFUNZO YA KUSAKA VIPAJI
Thursday, March 24, 2022
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema Wizara imeandaa kikao kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo wote nchi nzim...
Subscribe to:
Posts (Atom)