// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); UKIBETI MULTIBET UNAPATA BONUS KADRI UNAVYOZIDI KUONGEZA MECHI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE UKIBETI MULTIBET UNAPATA BONUS KADRI UNAVYOZIDI KUONGEZA MECHI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, February 04, 2022

    UKIBETI MULTIBET UNAPATA BONUS KADRI UNAVYOZIDI KUONGEZA MECHI


    KAMPUNI ya michezo na burudani Sportpesa inayo furaha kutambulisha kwa Watanzania, huduma yake mpya ya Multibet Bonus kwa wachezaji wake wote nchini.
    Bidhaa hii ni ya kwanza na ya kipekee kwa wachezaji wetu kutokana na kiwango cha asilimia ambacho mteja atakuwa anakipata baada ya kuweka ubashiri wake kwa mechi kuanzia 3.
    Tumeamua kufungua mwaka kwa kishindo, kwa kuwaongezea wateja wetu kiwango cha asilimia za mapato kwenye odds, kwenye mechi watakazokuwa wanachagua na kuweka kwenye bashiri zao wakati wa kupanga mikeka yao.
    ‘’Wachezaji wetu watapata bonasi mpaka asilimia themanini na tano (85%)ya kiasi ya kubet kulingana na idadi ya timu watakazochagua katika bashiri zao, Anasema Tarimba Abbas, Mkurugenzi wa Utalawa na Udhibiti Sportpesa.
    Wachezaji watakaoruhusiwa kushiriki fursa hii ni wale watakaokuwa wanabashiri na Odds zisizopungua 1.2 na timu za kuchagua zisizopungua tatu’.
    ‘’Tunajua kuna wachezaji wetu wanaopenda kucheza mechi nyingi, hivyo basi huduma hii imelenga kuwaongezea chachu ya kucheza mechi nyingi zadi kadiri wawezavyo ili wapate zaidi kama asilimia zitakavyojiongeza’’.
    Aidha, bidhaa hii ya Multibet Bonus, itakuwa inapatikana kupitia Sportpesa App yetu, inayopatikana kwa watumiaji wa simu janja na pia kupitia website yetu ya www.sportpesa.co.tz, kwa wanaotumia kompyuta mpakato pekee.
    Huduma hii ya Multibet Bonus, ni moja ya bidhaa bunifu, kutoka kwetu ambayo itakuwa inapatikana kwenye mechi za kila siku.
    ‘’Haya ni maboresho ambayo kampuni imeamua kuyaongeza katika kukupa wewe mteja ama mchezaji fursa ya kupata zaidi katika kila ubashiri utakaokuwa unaouweka’’.
    Sambamba na bidhaa hii, Sportpesa  inajitahidi kuboresha huduma zake zote ili ziweze kukidhi malengo na matakwa ya wachezaji wake, pamoja na soko kwa ujumla, kwa kiwango cha juu kabisa.
    Kwa msaada zaidi wasiliana na watoa huduma kwa wateja wetu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UKIBETI MULTIBET UNAPATA BONUS KADRI UNAVYOZIDI KUONGEZA MECHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top