MABINGWA watetezi, Manchester City wamechezea kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Tottenham Hotspur jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.
Mabao ya Spurs jana yamefungwa mshambuliaji wa kimataifa wa England, Harry Kane aliyefunga mabao mawili dakika ya 59 na 90 na ushei Riyad Mahrez kwa penalri dakika ya 90 na ushei na wakati ya Man City yamefungwa na 4' Dejan Kulusevski1 dakika ya nne na 59 na First nam İlkay Gündoğan dakika ya 33.
Tottenham Hotspur inafikisha pointi 39 katika mchezo wa 23 na kusogea nafasi ya saba, wakati Man City inaendelea kuongoza ligi kwa pointi zake 63 za mechi 26.
0 comments:
Post a Comment