// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TFF YAITAFUTIA MAJIBU GSM KUJITOA LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TFF YAITAFUTIA MAJIBU GSM KUJITOA LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, February 07, 2022

    TFF YAITAFUTIA MAJIBU GSM KUJITOA LIGI KUU


    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limekiri kupokea barua ya kampuni ya GSM kujitoa katika orodha ya wadhamini wa Ligi Kuu, lakini imesema itaifanyia kazi aria hiyo kabla ya kutoa majibu.
    Jioni ya leo GSM imetangaza kujitoa katika orodha ya wadhamini wa Ligi Kuu kwa kile ilichokieleza TFF na Bodi ya Ligi (TPLB) kushindwa kutekeleza makubaliano.
    Aidha, Mwenyekiti wa kampuni hiyo, Gharib Said Mohamed amejiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Taifa Stars kuanzia leo. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TFF YAITAFUTIA MAJIBU GSM KUJITOA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top