SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) litaendesha semina ya siku tatu kwa marefa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kuanzia Februari 15, mwaka huu ili kutazama na kupitia changamoto kwa lengo la kuboresha katika maeneo mbalimbali. Taarifa ya TFF imesema huu ni utaratibu wa kawaida kuwape semina waamuzi ili kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu na washiriki watakuwa waamuzi wote wa Ligi Kuu pamoja na Kamati ya Waamuzi.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment