KLABU ya Tanzania Prisons imeamua kurejesha mechi zake za nyumbani Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya kuanzia hatua iliyobaki ya msimu. Hatua hiyo inafuatia mwenendo mbaya katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa msimu wa pili mfululizo sasa tangu ihamie Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa. Kwa sasa Tanzania Prisons inashika mkia katika Ligi Kuu, ikiwa imeambulia pointi 11 tu katika mechi 14.
Hat-trick hero McAtee can play better - Guardiola
-
Manchester City manager Pep Guardiola called midfielder James McAtee
'special', but insists he could still play better despite scoring a
hat-trick in an 8-...
Media Accreditation for Uganda Vs Namibia
-
FUFA wishes to inform members of the sports media that the application
process for accreditation to cover the Women’s U17 World Cup Qualifier
match betwe...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment