// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC YAKABIDHIWA JEZI ZA KUTANGAZA UTALII CAF - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC YAKABIDHIWA JEZI ZA KUTANGAZA UTALII CAF - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 10, 2022

    SIMBA SC YAKABIDHIWA JEZI ZA KUTANGAZA UTALII CAF


    MWENYEKITI wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo (kulia) akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez jezi yenye ujumbe wa kuitangaza nchi leo hoteli y Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.


    Simba watatumia JEZI hizo kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kuanzia Jumapili kwenye mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi D dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YAKABIDHIWA JEZI ZA KUTANGAZA UTALII CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top