MASAFARA wa Simba umefika salama Jijini Addis Ababa, Ethiopia ambako wachezaji watalala kabla ya kuunganisha ndege kesho asubuhi kwenda nchini Niger.
Ikumbukwe Jumapili Simba watakuwa na mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, US Gendarmerie kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Jénérali Seyni Kountché Jijini Niamey.
0 comments:
Post a Comment