WASENEGAL watatu wamebeba tuzo za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zilizomalizika juzi nchini Cameroon.
Hao ni Edouard Mendy wa Chelsea aliyenyakua tuzo ya Kipa Bora wa Mashindano, Saido Mane wa Liverpool Mchezaji Bora na Aliou Cissé Kocha Bora, wakati Vincent Aboubakar wa Cameroon amekuwa Mfungaji Bora kwa mabao yake mañana japo timu yake ilimaliza nafasi ya tatu.
0 comments:
Post a Comment