// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SADIO MANE AIPELEKA SENEGAL FAINALI AFCON - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SADIO MANE AIPELEKA SENEGAL FAINALI AFCON - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 03, 2022

    SADIO MANE AIPELEKA SENEGAL FAINALI AFCON


    TIMU ya taifa ya Senegal imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuichapa Burkina Faso 3-1 katika mchezo wa Nusu Fainali usiku wa Jumatano Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé nchini Cameroon.
    Mabao ya Senegal yamefungwa na Abdou Diallo dakika ya 70, Bamba Dieng dakika ya 76 akimalizia kazi nzuri ya Nahodha, Sadio Mane ambaye naye alifunga la tatu dakika ya 87.
    Bao pekee la Burkina Faso limefungwa na Blati Toure dakika ya 82 na sasa Senegal itakutana na mshindi kati ya wenyeji, Cameroon na Misri wanaomenyana leo katika Nusu Fainali ya pili.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SADIO MANE AIPELEKA SENEGAL FAINALI AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top