Jackson stars as Ravens clinch AFC North title
-
Lamar Jackson stars as the Baltimore Ravens clinch the AFC North title by
beating the Cleveland Browns.
30 minutes ago
// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); });
1 comments:
bwana Bin Zubery mimi haya maoni yangu hata usipo ya publish naomba wewe kama mdau wa michezo na una kipindi kila JPILI AZAM TV ,naomba uwaeleze(wambie najua hiyo nafasi unayo) watu wanaohusika na picha kwenye mpira wa miguu iwe kwa bahati mbaya wana mapenzi au wana protect interest zao na hususani SIMBA na AZAM hapa tisiseme Waamuzitu.Wanaficha replay zao au kupotosha matukio na wapo makini kuonyesha any negative incedence inapofanywa na mchezaji wa Yanga na hapo Camera zao zitaonyesha kila angle.Mfano mchezo baina ya Yanga na Simba ngao ya hisani wanaonyesha eti harama ya dole(matusi Yanick Bangala eti alitukana Simba.Mchezo Yanga na Azam 1st round 1st half never Tigere anamkanyaga Dickson Job mgongoni tukio halirudiwi,badala yake wana create ile block ya iddi na Job kunyimwa penalt,picha ya marudio ya penalt ya Yanga vs Ruvu shooting inatetemeka kiasi cha kutojua nani alikosea lkn mpira ulianzia kwenye mkono wa hali mtoni ,wanaipeleka spidi ionekane Mayele alishika.Goli la George Mpole na Simba vs Kapombe wnaonyesha camera moja tu ya nyuma |(ina trend hiyo tu)nyingine z kuona kama kweli George alimsukuma Kapombe hamna ,Yanga vs Namungo Penalt ya Fei hapo utajua walivyo na vifaa mpaka ya chini mguuni(mgusano) tulionyeshwa.Simba vs Prison short off target ya kwanza Onyango aliblock mpira kwa mkono halafu jamaa wa prison kapiga tena nyavu ndogo ,Azam Tv hawakurudia hilo tukio na badala yake Mpenja aliyekuwa mtangazaji anapotosha baada ya kama dk 20 wale jamaa wanapiga golini(nje)short of target anasema ndiyo ya kwanza ,ile ya Onyango kushika wanaipotezea inatokea juzi na Mbeya kwanza offside ya Kagere ,Mpenja yuleyule eti anafafanua kuwa kama mpira ulimgusa mchezaji wa mbeya siyo offside.na hao watangazaji w Azam mchezaji wa Simba akicheza faulo utasikia inapambwa kwamba alikuwa anajaribu kuweka mguu lkn kwa tafsiri ya Mwalimu ni faulo.akicheza wa YANGA ametumia nguvu sana mchezo usio wa kiungwana.Kifupi hao watu wanao rusha mpira na ku control replay wawe na maadili,matukio yote yapewe kipaumbele ya Simba yasifichwe,bila kusahau Wawa alifanya nini mechi ya Mbeya kwanza.Wasimwlibie AZAM biashara yake kisa mahaba yao kwa Simba.
Post a Comment