// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAREFA WALIOIUMA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY WAFUNGIWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAREFA WALIOIUMA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY WAFUNGIWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, February 11, 2022

    MAREFA WALIOIUMA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY WAFUNGIWA


    REFA Hussein Athumani kutoka Katavi na Msaidizi wake namba mbili, Godfrey Msakila wa Geita wamefungiwa mechi tatu baada ya kuvurunda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga na Mbeya City Februari 5, Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
    Waamuzi hao walimhukumu kinyume cha sheria mshambuliaji Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kuotea akiwa kwenye nafasi ya kufunga katika mchezo ambao timu hizo zilitoka sare ya 0-0.





    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAREFA WALIOIUMA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY WAFUNGIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top