TIMU ya Manchester City imewaadhibu wenyeji, Sporting Lisbon kwa kuwachapa mabao 5-0 katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa José Alvalade Jijini Lisbon, Ureno. Mabao ya Man City yamefungwa na Riyad Mahrez dakika ya saba, Bernardo Silva dakika ya 17 na 44, Phil Foden dakika ya 32 na Raheem Sterling dakika ya 58.
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
-
Miguel Cardoso’s honeymoon at Mamelodi Sundowns is over after the coach
suffered his first defeat with the club. Sundowns lost 1-0 to Moroccan
giants Raj...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment