BAO pekee la mshambuliaji Mbelgiji, Romelu Lukaku dakika ya 32 limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Al Hilal katika mchezo wa Nusu Fainali Klabu Bingwa ya Dunia usiku wa Jumatano Uwanja wa Mohammed Bin Zayed Jijini Abu Dhabi, Saudia Arabia. Sasa mabingwa hao wa Ulaya watamenyana na Palmeiras ya Brazil katika Fainali Jumamosi baada ya Mabingwa hao wa Amerika Kusini kuitoa Al Ahly ya Misri. Kwa upande wao, mabingwa wa Asia, Al Hilal watawania nafasi ya tatu dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly Jumamosi pia.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment