BAO la Fabinho dakika ya 40 limeipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Turf Moor. Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 54 katika mchezo wa 24, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi tisa na mabingwa watetezi, Manchester City ambao pia wamecheza mechi moja zaidi. Hali inazidi kuwa mbaya kwa Burnley ambayo inaendelea kushika ikiwa na pointi 14 baada ya kucheza mechi ya 21 leo.
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
-
Miguel Cardoso’s honeymoon at Mamelodi Sundowns is over after the coach
suffered his first defeat with the club. Sundowns lost 1-0 to Moroccan
giants Raj...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment