MTENDAJI Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ (kushoto) akisaini mkataba na kiungo, Ismail Aziz Kader (kulia) leo Jijini Dar es Salaam. Kader alijiunga na Azam msimu wa 2020/21 kwa mkataba wa miaka miwili ambao unaisha mwishoni mwa msimu huu na kwa kusaini mkataba mpya wa mwaka mmoja leo sasa ataendelea kupiga kazi Chamazi hadi mwakani.
Media Accreditation for Uganda Vs Namibia
-
FUFA wishes to inform members of the sports media that the application
process for accreditation to cover the Women’s U17 World Cup Qualifier
match betwe...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment