TIMU ya Manchester United imelazimishwa sare ya 1-1 na wenyeji, Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Turf Moor mjini Burnley. Kiungo Mfaransa, Paul Pogba alianza kuifungia Man United dakika ya 18, kabla ya mshambuliaji wa England, Jay Rodriguez kuisawazishia Burnley dakika ya 47. Kwa matokeo hayo, Man United inafikisha pointi 39 katika mchezo wa 23 na kuteremka kwa nafasi moja hadi ya tano, wakati Burnley inayofikisha pointi 14 katika mchezo wa 20 inaendelea kushika mkia.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment