MWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mohamed Abdulaziz akimkabidhi fulana ya shirikisho hilo, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson kwenye Ofisi yake iliyopo Bungeni Jijini Dodoma leo.
Dk. Tulia pia ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini TFF.
Dk. Tulia Ackson amekutana na Wajumbe wenzake Bodi ya Wadhamini ya TFF, mbali na Mwenyekiti Mohamed Abdulaziz (wa kwanza kushoto), wengine ni Mjumbe wa Bodi Said Meckysadick (wa pili kutoka kulia) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF, Mohamed Aden ambao walimtembele Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment