BAO pekee la Gabriel Martinelli dakika ya 25, limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers usiku wa Alhamisi Uwanja wa Molineux, Wolverhampton, West Midlands. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 39 katika mchezo wa 22 na kupanda nafasi ya tano ikiizidi wastani wa mabao Manchester United, ambayo pia imecheza mechi moja zaidi. Wolves inabaki na pointi zake 34 za mechi 22 katika nafasi ya nane.
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
-
Miguel Cardoso’s honeymoon at Mamelodi Sundowns is over after the coach
suffered his first defeat with the club. Sundowns lost 1-0 to Moroccan
giants Raj...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment