Monday, February 28, 2022
FIFA YAIZUIA URUSI KICHEZA NYUMBANI NA...
Monday, February 28, 2022
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeitaka Urusi kucheza michezo yake katika Uwanja huru na bila mashabiki ikiwa ni kikwazo baada ya m...
SIMBA YAPIGWA 2-0 NA BERKANE MOROCCO, ASEC HOI NIGER
Monday, February 28, 2022
MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamepoteza mechi ya kwanza Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa 2-0 na wenyeji, RSB Berkane u...
Sunday, February 27, 2022
LIVERPOOL WATWAA CARABAO KWA MATUTA
Sunday, February 27, 2022
TIMU ya Liverpool imefanikiwa kutwaa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 11-10 kufuatia sare ya 0-0 ...
MAYELE ATETEMA MARA MBILI, YANGA YASHINDA 3-0
Sunday, February 27, 2022
VINARA, Yanga SC wameuanza vyema mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Kagera Sugar usiku huu Uwanj...
MBEYA CITY YAICHOMOLEA PRISONS JIONI KABISA, 1-1
Sunday, February 27, 2022
TIMU za Tanzania Prisons na Mbeya City zimegawana pointi baada ya sare ya 1-1 jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja...
MAMELODI YAICHAPA AHLY 1-0 CAIRO
Sunday, February 27, 2022
BAO pekee la kiungo Thapelo James Morena dakika ya 85 jana liliwapa Mamelodi Sundowns ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Al Ahly katika mchezo...
TONNY RASHID AMSHINDA BONGANI KWA POINTI
Sunday, February 27, 2022
BONDIA Tony Rashid Ngongo ‘Bad Belle’ juzi alifanikiwa kurejesha mkanda wake wa ubingwa wa Afrika (ABU) uzito wa Super Bantam baada ya kumsh...
ABRAMOVICH AJIWEKA KANDO UENDESHAJI CHELSEA
Sunday, February 27, 2022
MMILIKI wa Chelsea, Roman Abramovich amekabidhi usimamizi na uendeshaji wa klabu yake hiyo kwa taasisi ya hisani, kuonyesha amekataa wito w...
MAN CITY YAICHAPA EVERTON 1-0 GOODISON PARK
Sunday, February 27, 2022
BAO pekee la kiungo Philip Foden dakika ya82 jana limeipa Manchester City FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Everton FC katika mchezo wa Li...
Saturday, February 26, 2022
MAN UNITED YAAMBULIA POINTI MOJA KWA WATFORD
Saturday, February 26, 2022
WENYEJI, Manchester United wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford....
KMC YAIMIMINIA POLISI TZ 3-1 CHAMAZI
Saturday, February 26, 2022
WENYEJI, KMC imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex...
MTIBWA SUGAR YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-1 SOKOINE
Saturday, February 26, 2022
TIMU ya Mtibwa Sugar imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
Friday, February 25, 2022
GEITA, NAMUNGO ZAFUNGUA MZUNGUKO WA PILI KWA SARE
Friday, February 25, 2022
WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa kwanza kabisa wa duru la pili Ligi Kuu ya Tanzan...
LUSAJO AMFUNIKA MAYELE KWA MABAO LIGI KUU
Friday, February 25, 2022
MSHAMBULIAJI wa Namungo FC, Relliant Lusajo amemaliza mzunguko wa kwanza anaongoza kwa mabao Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufumania ny...
GABASKI AKUTANA NA MAKIPA WA SIMBA CASABLANCA
Friday, February 25, 2022
KIPA wa Zamalek ya Misri, Mohamed Qotb Abou Gabal Ali, ‘Gabaski’ akiwa na makipa wa Simba SC, Aishi Manula, Abdul Salum na Beno Kakolanya...
ARSENAL YAICHAPA WOLVES 2-0 EMIRATES
Friday, February 25, 2022
WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanj...
Thursday, February 24, 2022
JE, WAJUA HUYU NANI NA HII ILIKUWA BOTI GANI?
Thursday, February 24, 2022
Je, unamfahamu huyu ni nani? 😄 Na hapa unahisi ilikuwa boat gani? ⠀ Do you know who this is? 😄 And which boat do you think this was?⠀ @off...
MTIBWA SUGAR 0-2 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Thursday, February 24, 2022
HAWA NDIO MAWAKALA WANAOTAMBULIWA TANZANIA
Thursday, February 24, 2022
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa orodha ya mawakala nane tu wanaotambuliwa kufanya shughuli za kuwakilisha wachezaji nchini.
LIVERPOOL YAISHINDILIA LEEDS 6-0 ANFIELD
Thursday, February 24, 2022
WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield usiku wa Jumatan...
MAN U YAPATA SARE MADRID NA ATLÉTICO
Thursday, February 24, 2022
WENYEJI, Atletico Madrid wamelazimishwa sare ya 1-1 na Manchester United katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usi...
Wednesday, February 23, 2022
YANGA SC YAWAPIGA MTIBWA 2-0 MANUNGU
Wednesday, February 23, 2022
VIGOGO, Yanga SC wamekamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar jioni ya le...
CHELSEA YAICHAPA LILLE 2-0 LONDON
Wednesday, February 23, 2022
WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Lille ya Ufaransa katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usik...
Tuesday, February 22, 2022
BIASHARA UNITED YAICHAPA AZAM FC 2-0 KIRUMBA
Tuesday, February 22, 2022
MABAO ya Collins Opare dakika ya 49 na James Shagara dakika ya 90 na ushei yameipa Biashara United ushindi wa 2-0 dhidi ya Azam FC katika m...
KMKM 0-1 BLACK SAILORS
Tuesday, February 22, 2022
POLISI 3-0 YOSSO BOYS
Tuesday, February 22, 2022
YANGA SC WAIFUATA MTIBWA SUGAR KWA TAHADHARI
Tuesday, February 22, 2022
MSEMAJI wa Yanga SC, Haji Manara amesema mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro utakuwa mgumu kwao kw...
NAMUNGO FC YAICHAPA MBEYA CITY 2-0 ILULU
Tuesday, February 22, 2022
WENYEJI, Namungo FC jana wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Ilulu mjini Li...
Monday, February 21, 2022
SIMBA NA PAMBA, YANGA NA GEITA ROBO FAINALI ASFC
Monday, February 21, 2022
MABINGWA watetezi, Simba SC watamenyana na Pamba FC ya Mwanza katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kam...
UHAMIAJI 1-2 MLANDEGE
Monday, February 21, 2022
MAHOJIANO FRANK KUSIGA NA BIN ZUBEIRY
Monday, February 21, 2022
Sunday, February 20, 2022
KMC YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 DAR
Sunday, February 20, 2022
MABAO ya Awesu Awesu dakika ya 68 na Salum Kabunda dakika ya 90 na ushei yameipa KMC ushindi wa 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa...
SIMBA SC YALAZIMISHA SARE YA 1-1 GENDARMERIE NIAMEY
Sunday, February 20, 2022
MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamelazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Union Sportive Gendarmerie Nationale usiku wa leo Uwanja wa wa Jénérali...
MAN UNITED YAICHAPA LEEDS 4-2 ELLAND ROAD
Sunday, February 20, 2022
TIMU ya Manchester United imepata ushindi wa ugenini wa 4-2 dhidi ya Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Elland ...
RUVU SHOOTING YAIPIGA PRISONS 1-0 SOKOINE
Sunday, February 20, 2022
BAO pekee la Hamadi Majimengi dakika ya 44 limeipa Ruvu Shooting ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons jioni ya leo Uwanja wa So...
KELL BROOK AMMALIZA KHAN RAUNDI YA SITA
Sunday, February 20, 2022
BONDIA Kell Brook usiku wa kuamkia leo amemshinda Amir Khan kwa Technical Knockout raundi ya sita ukumbi wa Manchester Aren. Refa alilazimik...
SHOW SHOW, KARIBU TENA TWAHA KIDUKU
Sunday, February 20, 2022
Tunamkaribisha balozi wetu mpya katika familia ya Bidhaa Bora za Bakhresa chapa Azam, Bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, Twaha Kiduku. ...
CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE 1-0
Sunday, February 20, 2022
BAO pekee la Hakim Ziyech dakika 89 limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja ...
TOTTENHAM YAILAZA MAN CITY 2-1 ETIHAD
Sunday, February 20, 2022
MABINGWA watetezi, Manchester City wamechezea kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Tottenham Hotspur jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England U...
ARSENAL YAICHAPA BRENTFORD 2-1 EMIRATES
Sunday, February 20, 2022
WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Emirates Jijini London. ...
LIVERPOOL YAICHAPA NORWICH CITY 3-1 ANFIELD
Sunday, February 20, 2022
WENYJI, Liverpool jana waliitandika Norwich City mabao 3-1 Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Milot Rashica alianza kui...
Saturday, February 19, 2022
BENDERA CHUMA, MLINGOTI CHUMA...KWANI TUANZIE WAPI?
Saturday, February 19, 2022
Guess what? Bendera chuma, mlingoti chuma, kwani tuanzie wapi?
Subscribe to:
Posts (Atom)