BAADA ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Ethiopia jana katika mchezo wa Raundi ya Tatu kufuzu Kombe la Dunia kwa wasichana chini ya umri wa miaka 20 baadaye mwaka huu nchini Costa Rica, kikosi cha Tanzanite kimeondoka leo Zanzibar kwenda Karatu kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano. Tanzanite ambayo bao lake pekee lilifungwa na Christian Bahera Uwanja wa Amaan jana, imewkea katika katika hosteli za akademi ya Black Rhino mjini humo kujiandaa na mchezo wa marudiano ambao utafanyika Februari 4 Jijini Addis Ababa.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment