SHIBOUB, MUIVORY COAST KUCHEZEA SIMBA MAPINDUZI CUP
MSHAMBULIAJI Msudan, akiwa mazoezini na klabu ya Simba ambako amerejea kwa majaribio ambayo kama atamvutia kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin atasajiliwa tena.
Pamoja na Shiboub, kuna mchezaji mwingine kutoka Ivory Coast, Cheick Ahmed Tenena Moukoro naye pia anafanya majaribio. Simba inajiandaa na mechi yake ya kwanza ya Kundi C Kombe la Mapinduzi dhidi ya Selem View Jumatano.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment