SHIRIKISHO la Soka Afrika limemteua refa wa Tanzania, Frank Komba katika orodha ya Waamuzi watakaochezesha mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya wenyeji, Raja Club Athletic na Amazulu ya Afrika Kusini. Mechi hiyo itafanyika Februari 12, mwaka huu Uwanja Wa Mohamed V Jijini Casablanca nchini Morocco na Kombe atakwenda huko baada ya kumaliza majukumu yake ya sasa kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zinazoendelea nchini Cameroon kwa sasa.
Aidha, CAF pia imemteua Meneja Mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto kuwa Mratibu wa mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa baina ya wenyeji, Mamelodi Sundowns na Al Hilal ya Sudan Februari 11 nchini Afrika Kusini.
Naye Afisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Clifford Ndimbo ameteuliwa na CAF kuwa Ofisa Habari wa mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho kati ya wenyeji, Simba SC na ASEC Mimosas ya Ivory Cost utakaochezwa Februari 13 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment