KLABU ya Azam FC imembadilishia rasmi majukumu Abdi Hamid Moallin, Mmarekani mwenye asili ya Somalia kutoka Mkurugenzi wa Ufundi wa Maendeleo ya Soka la Vijana hadi Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza. Moallin amekuwa kaimu kocha wa kikosi cha kwanza kwa takriban mwezi sasa tangu kuondolewa kwa kocha Mzambia, George Lwandamina na baada ya kazi yake nzuri amepewa mkataba rasmi wa miaka mitatu kwa majukumu mapya.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment