MASHABIKI wa Simba SC wa tawi la Wekundu wa Chalinze wamepata ajali kijiji cha Wendele wilayani Kahama, mkoani Shinyanga mchana wa leo wakiwa njiani kuelekea Bukoba ambako timu yao kesho inacheza na wenyeji, Kagera Sugar. Kikosi cha Simba kimewasili salama Bukoba mapema leo kwa ajili ya mchezo wake huo wa kiporo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar kesho Saa 10:00 jioni Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment