WENYEJI, Dodoma Jiji FC wamechapwa mabao 2-1 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Mabao ya Kagera Sugar inayopata ushindi wa kwanza baada ya mechi sita yote yamefungwa na mshambuliaji Hassan Mwaterema dakika ya 31 na 76, wakati la Dodoma Jiji limefungwa na Issa Abushehe dakika ya 67. Kwa ushindi huo, Kagera Sugar inafikisha pointi 13 katika mchezo wa 12 na kujiinua kutoka mkiani hadi nafasi ya 10, wakati Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 17 za mechi 13 nafasi ya saba.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment